mwambie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Popote utakapo muona huyo ni mke wangu mwambie namtafuta

    Nitajihidi kumuelezea japo kwa uchache na nitatumia picha. Ndugu msomaji tafadhali sana mwambie mume wake namtafuta sana. Kwanza kabisa si mnene sana japo kajazia kidogo pia ni mrefu. Si mweupe Ni mweusi titititiii!.... Huyo ni mke wangu. Hajichubui wala si mweupe wa kuzaliwa. Ana...
  2. Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

    Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE. Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu. Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
  3. Mwambie mwenzio: Nina toa uduma za Kitaalamu kwa Mafanikio ya Miradi ya Ufugaji Samaki

    Habari Wakuu! Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
  4. Kama chapati yako moja ni sawa na mbili za zamani (oversize) mwambie mteja mapema

    Kuna migahawa siku hizi wanauza chapati kubwa sana, zile chapati mbili au tatu za zamani au mtaani wameziunganisha wakafanya kama chapati moja, sasa usipojua mapema ukaagiza chapati mbili linakuja furushi ambalo kumaliza inakuwa tabu tu. Ni vyema kama chapati zako unazouza ni oversize/kubwa...
  5. L

    Mwambieni Haji Manara atoe ahadi nyingine inayopendwa hasa ile inayopendwa na Mende

    Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende. Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku hiyo ya trh 8 basi utatoa ile apendayo mdudu Mende.
  6. Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    Hello! Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini. Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa. Turudi kwenye mada. Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa...
  7. S

    Mwambie Kijana Wako asichanganye Gender Equality (usawa wa kijinsia) kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) Katika Utamaduni Usioendana

    Mwambie Kijana Wako Asichanganye Gender Equality (Usawa wa kijinsia) Kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) ktk Utamaduni Usioendana.. πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’« Β© Mwl. Makungu Ms. 0743781910 Wakumbushe vijana wako kuwa definition ya neno "gender" imebeba neno "social and cultural" likiwa na maana...
  8. Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
  9. Mwambie mdogo wako mambo haya

    "Mwambie mdogo wako chuoni hakuna adhabu wala viboko, ila adhabu atayoipata ni supp na carry ikiwa hatazingatia kile kilichompleka." "Mwambie akifika chuoni atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji ila akumbuke kuwa anatokea kijijini tena ndani ndani kbsa..." Mwambie makundi makundi...
  10. Ikitokea ndugu yako yupo kijijini, na hana fani, hana elimu, we mwambie ukweli tu

    Huku mjini ni kugumu sanaa wazee, sio kuzuri kuja pekupeku aisee, utahaibika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  11. Mtu anapokuwekea bastola jibu ni moja Mwambie ashushe au apige risasi.

    Jana usiku ,Kuna Jamaa yangu kawekewa bastola kichwani kamwambia yule muhuni maamuzi ni mawili kupiga risasi au kushusha bastola chini Guyz don't afraid anything
  12. Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?

    Tuliopo kwenye ndoa! Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?
  13. Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

    Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa. Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti. Hawa Wanawake weusi...
  14. Mwambieni mzee Makamba kuna maisha baada ya kufa, yeye halijui hilo?

    Unjani sabuwona Mzee msambaa anajimwambafai na kujitapa sana sijui kwanini anajitapa hivi labda unapiga kelele ili mwanae aendelee kulamba asali zaidi au ndiyo anajiona yeye ni wenye chama au? Nimeona interview moja anamkaripia mwandishi mmoja baada ya kumuuliza swali murua halafu yeye anajibu...
  15. Barua kwa Prof. Nabi: Nabi mwambie Mayele aache kutetema kwenye mashindano ya CAF.

    Kucheza na jukwaa kunaondoa umakini uwanjani, kunaongeza wasiwasi kama ukipoteza nafasi, ukipigwa chenga, timu ikichelewa kupata bao na ukifanyiwa substitution. Kutetema kunamfanya mayele ahitaji nafasi 6 ili atumie vizuri nafasi moja vizuri, hiyo sio sawa. kwa upande mwingine Phiri wa Simba...
  16. Upendo ni lugha ya vitendo sio ya maneno matupu, kama huamini mwambie mbwa I LOVE YOU kama atakuelewa

    Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu. Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia. Je, huyo unayemwambia unampenda, je unamuoneshaje huo upendo? 1 KOR 13 Karama ya Upendo...
  17. Mwambie mimi ni mwanaume mwenziye ananiumiza

    Hakymungu mnanionea,nyinyi Hivi kusema kwamba nawewe ulikuwa huna baba ambaye ni mwanaume kama mimi, je mama yako angamfanyia haya haki si angekufa kwa presha ujanani tu yule mzee?? Au huyu mwanaume uliyenaye hajui kwamba namimi ni mwanaume mwenzie na kibaya zaidi nlipitialo mimi nayeye anaweza...
  18. Jaji Mutungi mwambie Rais ukweli kuwa kauli yake ni kinyume na Sheria na Katiba ya JMT

    Baada ya purukushani za mitandaoni wiki nzima kati ya wanaharakati, wanasiasa na Serikali kuhusiana malalamiko mbalimbali ya kisheria na kikatiba. Hili lilipelekea matamko, vitisho, kejeli na kashfa mbalimbali kutoka katika majukwaa mbalimbali na hata kufikia jana tulijionea kuwa Kada wa Chama...
  19. Mwambie x wako nimepata mtu niliyemuhitaji

    Amani iwe nanyi Comment hapa kwamba umepata uliyemuhitaji ili utoe hayo ya chini ya moyo ,naanza Mimi X Nimepata niliyemuhitaji
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…