mwaminifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Freeman Mbowe ni nahodha mwaminifu ambaye meli yake itatia nanga Januari 21

    Freeman Aikaeli Mbowe, aka Saluti ya Zege, kwa wanasiasa wengine amekuwa mwalimu na mkufunzi wa siasa za Bongo. Kati ya wanasiasa wengi, nadhani watamkumbuka kwa mafundisho yake. Aliwafunza wengine namna ya kuongoza. Maneno yake, nanukuu: "Nimeongoza chama hiki kwa muda mrefu kwa josho na...
  2. Haiwezekani kubaki mwaminifu kwenye Mapenzi!

    Siku zote utakutana na wanawake wenye mvuto kuliko mwanamke wako, utakutana na wanawake wenye vibes zaidi, utakutana na wanawake ambao wana habari zaidi, utakutana na wanawake wanaofanya kana kwamba wanamjali kuliko mwanamke wako. Pia ukiwa mwanamke utakutana na wanaume ambao ni matajiri sana...
  3. S

    Usiingie kwenye ndoa kama huwezi kuwa mwaminifu

    Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote. Inasiktiisha na kuhuzunisha mwanaume kulea watoto wasio wake na pia Inasiktiisha mwanamke/ mwanaume kuletewa magonjwa yasiyotibika kwasababu mwenza wake hakuwa mwaminifu. Kama unajijua huwezi kujizuia , usioe wala kuolewa, we danga tu. Nimemaliza.
  4. M

    Natafuta Wadau Waaminifu wenye Mizigo ya Kusafirisha

    Habarini Wadau? Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie Mikataba ya Kisheria ili tuweze kufanya kazi kwa uhakika zaidi. Aliye tayari tuwasiliane inbox.
  5. Tuwe waaminifu kwa wapenzi wetu.

    Huyu Emmy ni mara ya tatu sasa anataka kuja kwangu. Tulizoeana miaka mi3 hivi nyuma. Kipindi hicho maringo kama yote kunitolea nje. Leo hii anaforce kuja, kuna nini? Nimempiga chenga wee mpaka nikaona isiwe tabu. Acha nimchane ukwee
  6. Kwa kizazi hiki inawezekana kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu?

    Salaam wakuu, Imenibidi nihoji maana generetion yetu sio poa.sio walio kwenye ndoa sio walio kwenye mahusiano ya kawaida, sio wachumba kukosa uaminifu imekuwa kitu Cha kawaida sana.hadi naogopa. Kuna visa nimesoma na kushuhudia vingi,zaidi sana matukio vinanifikirisha Kucheat imekuwa kitu Cha...
  7. N

    Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
  8. Naomba msaada wa ushauri jinsi ya kupata laini za uwakala

    Nahitaji laini za wakala Tigo. (TigoPesa) Halotel (halopesa) Vodacom (m pesa) Airtel (Airtel money) Kwa atakayeweza kunisaidia Nipo Dar es salaam
  9. Anatafuta kazi ama shughuli yoyote, inayohitaji vyeti ama isiyohitaji vyeti.

    Habari wakuu. Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa. Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry relation/labour relation.) Mwaka 2020 alihitimu na kufanya mafunzo ya miezi6 katika ofisi ya tume ya uamuzi...
  10. Ukimpata Kiongozi Mwaminifu Maendeleo ni Kazi Rahisi Sana: Mbunge wa Mbogwe, Maganga

    UKIMPATA KIONGOZI AMBAYE NI MWAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAKE MAENDELEO NI KAZI RAHISI SANA: MHE. NICODEMAS HENRY MAGANGA, MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE MKOANI GEITA "Mwanzoni kulikuwa na watu siyo waaminifu, wakipewa leseni za uchimbaji Madini walikuwa wanawafukuza kama wanyama. Mimi nilikuwa na upeo...
  11. Mke wa boss wako akikutaka kimapenzi, je utakuwa Mwaminifu? Jibu lako ndio Siri ya Anguko au Mafanikio yako

    MKE WA BOSS WAKO AKIKUTAKA KIMAPENZI, JE UTAKUWA MWAMINIFU? JIBU LAKO NDIO SIRI YA ANGUKO AU MAFANIKIO YAKO Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani katika Hekalu Jeusi Mke wa Boss wako ameumbika, shape imesimama kama namba ya Lampard mchezaji wa zamani wa Chelsea. Akitembea anatikisika na...
  12. Msaada: Natafuta Ajira Dar es Salaam

    Habari wanajamii, Mimi ni kijana mwenye shahada ya uhandisi mitambo (Bsc in Mechanical Engineering) naishi Dsm. Jinsia ME, Kwasasa sina kazi yoyote, hivyo kama kijana mwenzenu nnaetafuta kujikwamua kimaisha naombeni msaada wenu niweze kupata kazi yoyote ya halali kwa maana hali imekuwa ngumu...
  13. Ukiwa mwaminifu, hauzingatiwi

    Nimeishi sehemu nyingi na kujifunza vitu vingi pia Nilikuja kugundua iko hivi ukiwa mwaminifu ukienda kukopa kitu hasa kwa wafanya biashara hautazingatiwa tofauti na mtu msumbufu wa kulipa Hii inanitokea mimi kila wakati kuwakumbusha wafanya biashara wa madukani madeni wanayonidai Maana hata...
  14. Chagua mwanamke mwaminifu usije ukaumia kwa kufanya kosa kama wanaume wengine

    Ili kujenga mahusiano mazuri kwanza hakikisha wewe ni mwaminifu. Ukitaka kuwa na mahusiano mazuri hakikisha uliyenaye ni mwaminifu. Kwetu wanaume kitu cha kwanza muhimu ni mwanamke mwaminifu. Uaminifu unajumuisha; kusema ukweli, kuwa na mtu mmoja (kuto saliti), kumuamini mwenzako, kuhifadhi...
  15. Naomba mwenyeji wa Sumbawanga mwaminifu mwelewa

    Naomba mwenyeji wa Sumbawanga, mwelewa na mwaminifu anayejua na awe Mzaliwa wa huko . Pili hata kama so mzaliwa awe tu mwelewa na sehemu za hukoo
  16. J

    Hii nchi kumpata Mwanasiasa Mwaminifu ni ngumu sana labda yule Sokoine au huyu Tundu Lissu

    Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa tai ya Bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe sanaa tupu! Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu! Wapinzani ndio hao walamba asali. Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu kwenye Siasa.
  17. Ilikuwaje Rais Samia akamwamini asiye mwaminifu?

    Ikumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania. Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?! Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani...
  18. Mwanaume huna haja ya kuua au kumdhuru mkeo/mpenzi wako asiye mwaminifu. Soma hapa tafadhali

    Kumuua mpenzi au hata kumjeruhi ndo upumbavu wa mwanaume asiyechepuka. Kuna umuhimu wa kila mwanaume kuwa na mchepuko angalau mmoja ili kuepuesha stress zisizoeleweka. Wanaume wenye akili na wanaojitambua lazima awe na mchepuko ili njia kuu inapoleta shida inakuwa rahisi kuachana nae kisha...
  19. K

    Natafuta fundi ujenzi mzuri mwaminifu

    Ndugu zangu wa Jamii, Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur. Asanteni sana
  20. B

    Kesi ya Mbowe: Commando Mhina, Shahidi Mwaminifu na Rafiki wa Kweli

    Komando Mhina popote pale alipo na apokee salamu za kheri kutoka kwetu tunaoyaishi machungu yao. Akiwa mtu huru, Commando Mhina alifika mahakamani kufanya sehemu yake ya kuuanika ukweli. "Kwani nani anapenda kufika kwa ridhaa yake polisi au katika mahakama zinazosifika kwa dhuluma?" "Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…