mwana ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joseph Sinde Warioba, mwana CCM pekee ambaye amegoma kumpongeza Wasira kwa nafasi ya umakamu CCM?

    Ni Wasira ndiye alimuondoa Warioba katika ubunge wa Bunda, walipelekana mpaka mahakama ya rufani. Sijamsikia Warioba akitoa hata pongezi, kulikoni!? N. B: Ni Wilaya ya Bunda ambayo imetoa Makamu wa Mwenyekiti CCM Taifa, Waziri Mkuu, nadhani(hata Mwenyekiti wa CCM taifa, Julius Kambarage...
  2. Kwanini hamna Mwana CCM aliyempongeza LISSU au kumsema vibaya Freeman Mbowe?

    Am still trying to figure out why ? Wanachama wa CCM asilimia Kubwa kama sio wote wanapambana kuhakikisha FAM anabaki kua Mweyekiti. Ninawaza tu yaan katika Siasa ya Vyama zaidi ya 15 vyenye lengo la Dola , wanatokea Wafuasi wa Cha Dola, wakakuambia , Mwenyekiti komaaa ,uendelee kua...
  3. Haitatokea mwana-CCM jasiri na shupavu kama Marehemu Kachelo Membe 2025

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Ndani ya CCM haitatokea Mwanasiasa kama kachelo marehemu Membe, aliweza kumpinga wazi wazi Raisi Magufuli juu ya demokrasia, ndani ya CCM. Aliweza kuonesha nia ya kuchukua form ya kugombea urais kama sehemu ya kidemokrasia, mbali na vitisho alivyokuwa...
  4. T

    Mwana CCM unazungumzia kupoteza watu wakati sera za chama zimebadilika. Huyu aelemishwa 4R

    Nimesikiliza kauli za kijana wa UVCCM huko Kagera akizungumzia kupoteza watu kutokana na kumtukana Rais,na pia nimemsikiliza Dr Nchimbi akipinga kauli hiyo kwa nguvu,kwenye ziara zake. Kwa mawazo yangu inaonekana bado kuna watu wana mawazo na mitizamo ya mifumo na sera ya awamu ya 5. Naomba...
  5. Si kila mwana CCM ni wa kulilia akifa wanatutesa sana wakiwa hai

    Great Thinkers. Politicians ni binadamu kama binadamu wengine tu. Leo hii misiba tanzania iko mingi lakini ya wanasiasa inapambwa sana. Wanasiasa wenyewe ndo hawa CCM wanaotutesa na ugumu wa maisha pamoja na ubadhilifu. Kuna wanasiasa wa kulilia ila wengine hasa walio wengi tunasema asante mungu
  6. TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia. Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu. Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili. Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja. Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana...
  7. P

    Unasubiri nini kuwa mwana CCM?

    CCM ndiyo chama kikuu cha siasa nchini na kikongwe Afrika. Chama hiki kimejengwa katika misingi imara ya kusuluhisha migogoro, kujiendesha kiuchumi, kujiongezea wanachama, na kina mfumo imara wa utawala na kuwajibishana. Katiba ya CCM imeandikwa vizuri na imebeba matarajio ya wananchi. Viongozi...
  8. K

    Ahadi hizi kweli wana-CCM wanazitekeleza?

    Hizi ni ahadi 10 za wana-CCM, ipi wanayoitekeleza kwa vitendo zaidi? Au ni kinyume chake? 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. 4. Rushwa ni adui wa haki...
  9. Watanganyika Wenzangu Kuanzia sasa Popote atakaposimama Mwana CCM Kuongea ni kuzomea Mwanzo Mwisho

    Tanzania ya sasa inatia hasira kuliko wakati wowote ule. Kuna ukandamizaji wa wazi wa haki za binadamu pale ambapo watu tunataka kuhoji maswala ya msingi. Ikumbukwe Tayari kuna wenzetu wameshaanza kutiwa nguvuni. Ili kuonnyesha tuko nao pamoja. Itabidi tuwaonyeshe CCM nguvu ya umma ni real...
  10. Huyu Mzee mwana CCM Kutoka Mbeya ni nani?

    Nimeikuta Mahali. Anaonekana alikuwa MTU Mkubwa Serikalini.
  11. Acheni kupotosha watu. Hakuna mwana CCM aliyehongwa, CCM inauwezo wa kununua hizi pikipiki

    Mnapotosha kila mahala. Kisa tu mnaona picha ya Rais Samia.
  12. MwanaCCM huyu ni nani? Anaitaka Serikali kutowaruhusu wachekeshaji kuongelea suala la bandari kwa niaba ya watanzania au Serikali! awataja Kitenge

    Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa Serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea suala la bandari Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na kuonekana na upotoshaji kwakuwa hawajui vitu muhimu vya kuongelea Ameiomba serikali kuto ruhusu kila mtu...
  13. R

    Mwigulu: Kila Mtanzania anapozaliwa anakuwa mwana CCM

    Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea...
  14. Sasa kama kumbe Kutokukoma kwa Teuzi ni Agenda ya Siri ya CCM kuwa kila mwana CCM lazima ale Keki ya nchi kwanini msiseme tu?

    Nasikia umeshauriwa na Mtu unayemuamini na kumsikiliza mno kuwa ili mwaka 2025 upate Uungwaji mkono na wana CCM wote hakikisha kila mara unawapa Ulaji ili Waibe na Wajitosheleze kisha unawapa na Fursa hiyo hiyo na Wengine ili wapige na hadi hiyo 2025 wasije Kukulaumu. Nimedokezwa kuwa kati ya...
  15. Tusifurahie kufungwa kwa Mwana CCM, hakuna anayejua atayefuatia....

    Kada wa CCM amehukumiwa miaka saba jela na faini ya mamilioni kwa kile kinachosemekana ni kutoa maoni Yake kuhusu Utendaji wa Mwenyekiti wake ambaye pia ni Raisi. Wapo wanashangilia jambo hili ila ukweli ni kwamba, kama Watu wanazuiwa kutoa "maoni" basi hakuna aliyesalama na ni suala la muda tu...
  16. Kuna mwana CCM atagombea Urais mwaka 2025 dhidi ya Samia Suluhu?

    CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM? Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye...
  17. Sio Lazima Mzazi wangu awe Kada, Mimi kuwa mwana CCM kindakindaki

    Kama kijana nimekuwa nikipata maswali mengi sana toka kwa vijana wenzangu pale ninapojaribu kuonesha husia zangu au pale ninapotoa hoja zangu zinazoonesha kuiunga mkono iwe hapa ama mahali kwingine kokote. Maswali hayo yamekuwa wakati mwingine yakiuliza chanzo changu cha hamasa ya Chama...
  18. Pamoja na kwamba mimi ni mwana CCM mzuri lakini haya siyaafiki

    Mi ni miongoni mwa Wana CCM ambao sikupendezwa na Mheshimiwa Tundu Lissu Kupigwa risasi , Mimi ni Miongoni mwa Wana CCM ambao hatukukubaliana na jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa na Bwana Magufuli, Mimi na akina Kagasheki, Mwandosya, January Makamba na Butiku tulikuwa hatukubaliani na hayo...
  19. Mpaka sasa hakuna mwanaCCM aliyeeleza pesa alizokuwa anagawa Magufuli majukwaani alizitoa katika mfuko gani

    Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani? 1. Zilitoka katika mshahara na posho za Rais? 2. Zilitoka CCM makao makuu? 3. Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu? 4. Zilitoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…