Hamis Mwinjuma, also known as Mwana FA (born in Tanga), is a Tanzanian Musician, board member of the country's National Arts Council (BASATA), and a politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Muheza constituency since November 2020.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amesema kuwa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kudumu miaka 130 huku ukiwa unafanyiwa marekebisho kila baada ya miaka 10.
Mwinjuma ameyasema hayo Machi 13, 2025 wakati wa ziara ya kamati ya...
Ni maajabu ya karne!
Tangu mwaka 2023 tulielezwa kwamba ukarabati mkubwa utafanyika katika uwanja wa Mkapa, Tukaelezwa kwamba zimeshatengwa zaidi ya bilioni 30 kwa ajili ya kazi hiyo na uwanja ukatangazwa kufungwa.
Ukijaribu kuhoji utaambiwa vyoo vimerekebishwa, Mashabiki na wachezaji wanakuja...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongeza utendaji wa Mbunge wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma (Mwana FA), na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Nickson John Simon (Nikk wa Pili), akieleza kuwa...
Huko Tanga ni mashindano tu yakutoa zawadi kwa Rais Samia
==
Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA, pamoja na wananchi wa Muheza, wamemzawadia Rais Samia Suluhu Hassan Ng’ombe 10 pamoja na vifurushi vya viungo vya asili vya hiriki, mdarasini na pilipili manga.
Kupata taarifa...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameagiza wataalamu wa wizara yake kufanya tathmini ya ujenzi wa uwanja wa mazoezi kwa ajili ya AFCON 2027 katika eneo la FFU, Morombo, Arusha.
Ametoa maagizo hayo leo, Februari 15, 2025, wakati wa uzinduzi wa michuano ya...
Siasa tamu bhana ukipatia, JAmaa amesema atarejea tena
Mbunge wa Jimbo la Muheza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Hamis Mwinjuma "Mwana FA" amesema atagombea tena Ubunge wa Jimbo la Muheza katika mwaka huu wa Uchaguzi 2025 ili kuendelea kuwaletea Maendeleo Wananchi wa...
Serikali imesema bado ina dhamira ya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kuwapa mafunzo (kozi) wachambuzi wa michezo kabla ya kwenda kufanya kazi ya uchambuzi kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa kanuni za michezo kama zinavyotaka.
Hayo yameelezwa tarehe 05 Februari, 2025 bungeni Jijini Dodoma...
Mwana FA na AY waligombana baada ya FA kuajiriwa na kitengo idara pendwa ya jengo la mwewe. AY akamuona huyu tayari kashakula shavu ukudani kwa wakuda. Alamsiki.
MWANA FT. PROFESSOR JAY.
SONG. JUKUMU LETU.
VERSE. 1. (MWANA FA & PROFESOR JAY)
Professor jay:
Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na wimbi la Umasikini /..
Mwana Fa:
Jukumu la kila mmoja kuchangia tufanye nini?
Professor jay:
Serikali...
MWANA FA ( SONG - NAZEEKA )
Wote bado wana fuata mi ni kama mdundiko/ hata ujifiche wapi sauti itakufuata ulipo/ busara na maumivu katikati ya kauli zangu/ mimi ni kaka mkubwa jamaa msibishane wadogo zangu/ nipo juu kwa sababu siogopi kuruka/ siogopi kuanguka/ siogopi vidonda wala hakuna...
Wakuu mmesikia huko?
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
Naibu Waziri Wa Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) amesema serikali kupitia Wizara yao itasaidia kutafuta wadhamini kwenye michuano ya Bahati Ndingo CUP 2024, iliyoanzishwa na Mbunge wa Jimbo la Mbarali, ili kuongeza zawadi Kwa washindi kwakuwa michezo ni ajira.
Mhe...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, anayejulikana kama Mwana FA, alikuwa mgeni rasmi kwenye Kongamano la Utamaduni wa Kiislamu lililofanyika jana Oktoba 27 mkoani Lindi, akimuwakilisha Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega.
Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya...
Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ameahidi kutatua kero zinazowapata Watoto wenye mahitaji maalum Wilayani Muheza ikiwemo kuboresha miundombinu katika Shule wanazosoma, kuwapatia vifaa vya michezo na kuweka uzio katika Shule...
MWANA FA & AY
SONG: HABARI NDIO HIYO..
Ha, ha, habari ndo hiyo
Ha, ha, habari ndo hiyo
Ha ha habari ndo hiyo
Ha ha habari ndo hiyo
Ha ha habari ndo hiyo
Ha ha habari ndo hiyo
Ha ha habari ndo hiyo
Ha ha habari ndo hiyo
Kaze ha ha ebanae
Naskia harufu ya ankara ankara
Kwenye track hii ya...
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.
katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
chadema
duniani
kuelekea 2025
maendeleo yetu
mbwa
mdude
mdude chadema
misaada
mwanafa
naibu waziri
ngorongoro
rais samaia
samia
siasa za ccm
siasa za tanzania
toto
wapiga kura
watanganyika
Akiongea Jana kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu cha historia ya klabu ya Yanga, Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa michezo, alisema kitendo cha viongozi na wanachama wa Simba kukubali kuendesha timu Kwa miaka 6 bila kukamilisha mchakato wa mabadiliko ya katiba na sheria za uendeshaji wa timu...
Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake.
"Mimi huwa sichangi harusi ya mtu, kama ni mazishi nitachanga kwa sababu hilo halikupangwa, kifo kinakujaga tu".
Mwamba ameongea ukweli hapa!
WATU MPAKA WAFE NDIO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.