Waziri wa Elimu ,Sayansi na Tkenolojia,Mhe. Prof.Adolf Mkenda, alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya shindano la pili la stadi za kufundisha somo la Kiingereza kwa shule za Msingi nchini ambalo litafanyika tarehe 25/06/2024 jijini Dar es salaam.
Shindano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Elimu...