Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema.
Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija.
Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu akidaiwa kuzidiwa ghafla na homa akiwa anasubiria usafiri wa kwenda Ruvuma.
Taarifa ya kifo hicho iliyotolewa leo Jumapili Machi 2, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Elimu ni bahari
Elimu ni hazina
Elimu ni ufunguo wa maisha.
Hii ni baadhi ya misemo inayochochea na kuhamasisha umuhimu wa elimu.
Na muamko si mdogo Kwa miaka ya hivi karibuni ,Watu waliograduate ni wengi hali inayosababisha Ajira kuwa chache kwani mahitaji ni machache kuliko bidhaa...
Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT)
Bado hakuna taarifa ya uhakika ya kuhitimisha kikamilifu chanzo cha kuanguka aidha kajirusha, kasukumwa, ajali, n.k.
chanzo >>...
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma...
Kwema wakuu,
Katika pitapita zangu nimekutana na mdada fulani mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufika maskani nikamcheki tumechat jana na leo nikajaribu kutupia ndoano imo sasa katika maongezi kanichana ana mtu wake ila kanikubalia. Hii imekaaje wakuu sema kweli pisi nimeielewa...
TNMC kulipisha wanachuo 30000 ili waapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena mwanafunzi analipishwa 150,000 kufanya mtihani.. Hili ni Janga upigaji kila Kona
Baraza la wauguzi na wakunga TNMCS imeendelea kutuma taarifa za kuzisambaza kwa wakuu wa chuo kimya kimya ikiwataka wanachuo...
Habarini wana JF
Mimi ni kijana ni Mwanachuo kwa sasa nipo likizo. Nahitaji msaada wa kupata kibarua chochote kipind hiki cha miezi miwili
Posho hata ikiwa elfu tatu kwa siku ni sawa.
contact: 0621554787
Nmeshangazwa na huu utaratibu wa kushtukiza kutoka utumishi, ambapo wanatoa majina ya usaili siku Moja kabla ya usajiri.
Yaani majina yanatangazwa tarehe 13, tarehe 14 usaili.
Hata kama mnataka kupunguza watu kwa namna hii sio sawa. Wekeni angalau siku tano kabla. watu wanatoka mbali ndani ya...
Huyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano.
Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie.
Binti...
Wakuu,
Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana.
Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye...
Poleni na majukum wakuu, kama kichwa cha habari kinavo jieleza jana usiku nilipokea cm kutoka kwa mwanafunzi X wa chuo cha afya tabora kijulikanacho kama TABORA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,hiki chuo kipo katika hospital ya rufa ya mkoa wa tabora almaarufu kama kitete hospital wanatoa...
Kusoma na kumalizana kupata cheti chako kizuri sio njia pekee ambayo itakuweka salama na kukuweka kwenye kundi la wasomi, haijalishi ni Certificate, Diploma, degree au Master.
Hii ni kutokana na wasomi wengi kutoonesha nini walicho nacho na kuishia kujidai na cheji. Vyeti vilivyo vingi vya...
Hamjambo wanajamii,
Niende moja kwa moja kwenye mkasa huu.
Niliingia kwenye uhusiano na binti aliyemaliza elimu ya kidato cha sita. Tulipendana sana na nilijitahidi kughalamia kila kilicho ndani ya uwezo wangu. Pia yeye alijitoa haswaa kila nilipohitaji msaada wake wa hasa kwenye swala...
Habari wakuu
Dogo amechaguliwa kujiunga UDSM (Main Campus). Anataka atakapokuwa chuo awe pia anafanya biashara ndogo ndogo ambayo haitampotezea sana muda wa masomo. Ikiwezekana aifanye mwenyewe au ampe mtu
katika maeneo ya jirani asimamie.
Tayari amejichanga tangu amalize chuo na ana 1.5m na...
Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017!
ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma.
Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
Inasikitisha kwamba kuwa msomi siku hizi imekuwa aibu. Unasoma kwa bidii mpaka ngazi ya chuo kikuu unaishia kutia aibu mtaani.
Nakumbuka kipindi niko Form V niliazimia kuacha shule. Niliona kabisa napoteza muda mrefu na nitaishia kupata aibu tu kwa usomi wangu. Sio jamii tu, bali hata walimu...
Naomba msaada wandugu,
Eti kwa mwanachuo anaeingia mwaka wa pili, akaomba mkopo HELSB kwa mwaka huo. Wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch Gani, maana batch ya kwanza wamesema ni kwa mwaka wa kwanza na idadi at.
Msaada please
Habari,
Kwa yeyote anaehitaji/ unamfahamu anahitaji huduma ya kujifunza au kutengeneza Profesisional Business Pieces(Documents), CV-Curriculum Vitae, Proposal, Presentation & huduma za Digital Marketing.
Tuwasiliane kwa namba:
+255 688 372 118
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.