mwanachuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Huyu Mwanachuo Kutoka Temeke Dar, Pale Makerere University ametutia aibu kwa Maswali ya kitoto aliyomuuliza Mh Tundu Lissu. Hajatuwalilisha vyema.

    Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema. Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija. Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson...
  2. Mwanafunzi wa Chuo afariki dunia stendi ya Msamvu akisubiri basi

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu akidaiwa kuzidiwa ghafla na homa akiwa anasubiria usafiri wa kwenda Ruvuma. Taarifa ya kifo hicho iliyotolewa leo Jumapili Machi 2, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  3. Ewe Mwanachuo unayehitimu, ongeza Maarifa na Stadi za Maisha kwani Ajira siyo uhakika kama zamani

    Elimu ni bahari Elimu ni hazina Elimu ni ufunguo wa maisha. Hii ni baadhi ya misemo inayochochea na kuhamasisha umuhimu wa elimu. Na muamko si mdogo Kwa miaka ya hivi karibuni ,Watu waliograduate ni wengi hali inayosababisha Ajira kuwa chache kwani mahitaji ni machache kuliko bidhaa...
  4. G

    TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

    Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT) Bado hakuna taarifa ya uhakika ya kuhitimisha kikamilifu chanzo cha kuanguka aidha kajirusha, kasukumwa, ajali, n.k. chanzo >>...
  5. Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇 Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE? Maswali yanazidi kuchanganya umma...
  6. Kuna msichana kanikubalia ila ameniambia ana mtu

    Kwema wakuu, Katika pitapita zangu nimekutana na mdada fulani mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufika maskani nikamcheki tumechat jana na leo nikajaribu kutupia ndoano imo sasa katika maongezi kanichana ana mtu wake ila kanikubalia. Hii imekaaje wakuu sema kweli pisi nimeielewa...
  7. N

    TNMC kulipisha wanachuo 30,000 ili wapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena Mwanachuo analipishwa 150,000 kufanya mtihani ni wizi na upigaji

    TNMC kulipisha wanachuo 30000 ili waapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena mwanafunzi analipishwa 150,000 kufanya mtihani.. Hili ni Janga upigaji kila Kona Baraza la wauguzi na wakunga TNMCS imeendelea kutuma taarifa za kuzisambaza kwa wakuu wa chuo kimya kimya ikiwataka wanachuo...
  8. Mwanachuo natafuta kibarua kipindi hiki cha likizo

    Habarini wana JF Mimi ni kijana ni Mwanachuo kwa sasa nipo likizo. Nahitaji msaada wa kupata kibarua chochote kipind hiki cha miezi miwili Posho hata ikiwa elfu tatu kwa siku ni sawa. contact: 0621554787
  9. Utumishi rekebisheni kidogo hii

    Nmeshangazwa na huu utaratibu wa kushtukiza kutoka utumishi, ambapo wanatoa majina ya usaili siku Moja kabla ya usajiri. Yaani majina yanatangazwa tarehe 13, tarehe 14 usaili. Hata kama mnataka kupunguza watu kwa namna hii sio sawa. Wekeni angalau siku tano kabla. watu wanatoka mbali ndani ya...
  10. Nimenusurika kuambukizwa HIV na mwanachuo wa miaka 24 ambaye yupo kwenye mission ya kulipiza kisasi

    Huyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano. Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie. Binti...
  11. Kisa Ugomvi wa Kimapenzi, Mama amchoma mwanaye Visu zaidi ya 100, amla Utumbo na Figo

    Wakuu, Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana. Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye...
  12. Ni wapi mwanachuo huyu atapata msaada kwa uzembee huu wa Mwalimu?

    Poleni na majukum wakuu, kama kichwa cha habari kinavo jieleza jana usiku nilipokea cm kutoka kwa mwanafunzi X wa chuo cha afya tabora kijulikanacho kama TABORA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,hiki chuo kipo katika hospital ya rufa ya mkoa wa tabora almaarufu kama kitete hospital wanatoa...
  13. Sifa ya kujiita Msomi Mwanachuo ni ipi?

    Kusoma na kumalizana kupata cheti chako kizuri sio njia pekee ambayo itakuweka salama na kukuweka kwenye kundi la wasomi, haijalishi ni Certificate, Diploma, degree au Master. Hii ni kutokana na wasomi wengi kutoonesha nini walicho nacho na kuishia kujidai na cheji. Vyeti vilivyo vingi vya...
  14. Achana na Mwanachuo!

    Hamjambo wanajamii, Niende moja kwa moja kwenye mkasa huu. Niliingia kwenye uhusiano na binti aliyemaliza elimu ya kidato cha sita. Tulipendana sana na nilijitahidi kughalamia kila kilicho ndani ya uwezo wangu. Pia yeye alijitoa haswaa kila nilipohitaji msaada wake wa hasa kwenye swala...
  15. J

    Biashara gani inamfaa mwanachuo?

    Habari wakuu Dogo amechaguliwa kujiunga UDSM (Main Campus). Anataka atakapokuwa chuo awe pia anafanya biashara ndogo ndogo ambayo haitampotezea sana muda wa masomo. Ikiwezekana aifanye mwenyewe au ampe mtu katika maeneo ya jirani asimamie. Tayari amejichanga tangu amalize chuo na ana 1.5m na...
  16. Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

    Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017! ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma. Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
  17. T

    Kuna mwanachuo kaandikiwa taarifa hii hajui kama kapata mkopo au kakosa

    Kwa wanaolewa hapo kapata mkopo au kakosa
  18. Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Inasikitisha kwamba kuwa msomi siku hizi imekuwa aibu. Unasoma kwa bidii mpaka ngazi ya chuo kikuu unaishia kutia aibu mtaani. Nakumbuka kipindi niko Form V niliazimia kuacha shule. Niliona kabisa napoteza muda mrefu na nitaishia kupata aibu tu kwa usomi wangu. Sio jamii tu, bali hata walimu...
  19. W

    Mwanachuo anayeingia mwaka wa pili akaomba mkopo HESLB kwa mwaka huo, wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch gani?

    Naomba msaada wandugu, Eti kwa mwanachuo anaeingia mwaka wa pili, akaomba mkopo HELSB kwa mwaka huo. Wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch Gani, maana batch ya kwanza wamesema ni kwa mwaka wa kwanza na idadi at. Msaada please
  20. Nafundisha na Kutengeneza Proffesional CV, Proposal, Presentation & Digital Marketing (SEO, Affiliate Marketing)

    Habari, Kwa yeyote anaehitaji/ unamfahamu anahitaji huduma ya kujifunza au kutengeneza Profesisional Business Pieces(Documents), CV-Curriculum Vitae, Proposal, Presentation & huduma za Digital Marketing. Tuwasiliane kwa namba: +255 688 372 118
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…