Habarini za jioni wana jamvi.
Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja.
Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa kwao ni geti kali kidogo na ni mtu wa kushinda dukani.
Maisha yakaendelea baada ya kumkubalia ombi...