Kwanza natamani kujua mwana FA alimaanisha ndege gani? Ndege kiumbe au ndege usafiri?
Kama ni ndege kiumbe basi tujue tu kwamba wapo aina za ndege ambao ni waharibifu na wana madhara kwa viumbe wengine.
Hivyo ni wazi kabisa mbwa mkali yoyote atambwekea tu ndege huyo. Mbwa hawezi kunyamaza...
Wanajukwaa Asalam Aleykum.
Mwenzenu sijambo, japo kuna jambo bado linanitatiza.
Bado natafakari ujumbe uliosheheni kwenye mashairi aliyoimba Naibu waziri wa Michezo leo.
Kati ya mashairi hayo ni pamoja na lile linalosema, "Mungu ndiye aliyetaka jongoo kugeuka kuwa nyoka".
Sasa hapa bado...
Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.
Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakaamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku...
Naibu Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (MwanaFA), amewaomba mashabiki wa Simba na Yanga kuungana pamoja katika kuziombea timu zao kuelekea mechi zao za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Pia MwanaFA amesema kuwa goli la Mama bado lipo palepale.
Simba itacheza...
MwanaFA akisimulia njia na hadithi ngumu ya maisha yake hakika Mungu wetu ni mkubwa sana. Natumia nafasi kumuombea heri na tuzo ya milele Babu yake MwanaFA ambae ni mzaa baba yake.
Tafadhari mwenye video full ya mahojiano aiweke hapa watu waone na wapate hisia za maisha yake.
Kisa Kiko hivi...
Toka mitaa ya Upanga Kilombero ama Kalenga kuvuta bangi na washikaji mpaka Mjengoni. Muite MwanaFA.
Kuna muda ukitaka kutoboa kwenye haya maisha kuna maisha inabidi uyakatae na baadhi ya marafiki uwakatae completely.
Kwa maisha walioishi akiwa East Coast MwanaFA binamu asingefika hapa alipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.