mwanafunzi apotea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanafunzi aliyepοtea mlima Kwaraa apatikana. Adaiwa alikuwa akila majani na maji tu

    Mwanafunzi anayefahamika kwa jina la Joel Mariki (14) anayesoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Bagara iliyopo wilayani Babati mkoani Manyara ambaye alipotea Jumamosi ya Septemba 14, 2024 katika Mlima Kwaraa, amepatikana akiwa hai. Pia soma: Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa...
  2. K

    DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

    Kwa kweli inasikitisha mno, Mwanafunzi Naomba wana JF muisikilize audio hii kwa umakini pia vyombo vya serkali vinavyohusika vichukue hatua. ========== UPDATES... Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano mchepuo wa PCB, Shule ya Secondari Pandahill hajulikani alipo baada ya kudaiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…