mwanahalisi

  1. K

    Gazeti la Mwanahalisi Hongereni kwa makala za uchambuzi

    Kwangu mimi na kwa wale wenzangu tusioegemea upande wa vyama vya siasa ni faraja kubwa kupata gazeti la MWANAHALISI linalotoka kila Alhamisi nchini Tanzania. Kwangu mimi ni chombo pekee katika Print Media ambako naweza kupata uchambuzi makini{analytical} wa maswala mengi ya kisiasa na...
  2. Pfizer

    IPTL inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na wachapishaji wa Gazeti la Mwanahalisi

    IPTL YATISHIA KUSHTAKI GAZETI LA MWANAHALISI Wakili wa IPTL, Leonard Manyama KAMPUNI ya kufua umeme wa dharula ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na wachapishaji wa Gazeti la MwanaHALISI endapo hawataomba radhi kwa madai ya...
  3. BARD AI

    Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  4. John Haramba

    Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape. "Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
  5. SYLLOGIST!

    Nani ni ndio "Kunje Ngumbale Mwiru"? Mwanahalisi wajibu

    Katika pita pita za kutafuta Habari, nilikutana na video ya Mwanahlisi TV ambayo inadai "Kunje Ngumbale Mwiru" mtoto wa Ngumbale Mwiru akiomba wazee, sijui ni wazee gani,waingilie kati kesi ya Mh. Mbowe. Huyu Kunje ndio nani na Kinje ni nani? Hayati Ngombale Mwiru ndio huyu huyu anaiitwa...
  6. M

    UHURU siyo gazeti mama hapa nchini, Gazeti mama ni KIONGOZI

    Wote tumeona Chama Cha Mapinduzi, CCM, kimekanusha taarifa ya gazeti la UHURU kwamba Samia hatagombea urais mwaka 2025. Lengo la habari hii siyo kanusho hilo lakini ni kitaarifa ndani ya taarifa hiyo kwamba UHUR ndilo Adam na Hawa ya magazeti yote hapa nchini. Hivi ndivyo ambavyo historia...
  7. Mfalme wa Genge

    Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya mbunge Mwanaisha Mlenge au wametumwa?

    Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya Mbunge wa Viti Maalum Tanga Mwanaisha Mlenge. Mwanaisha ameshauri Serikali iwe na Ofisi moja tu ya Tathmini na Ufuatiliaji (Monitoring and Evaluation) badala ya kuwa na ofisi ndogo sita ambazo hazina nguvu kwa kuwa zipo chini ya Wizara...
  8. Hamduni

    Mwanahalisi imepotosha kauli ya Mbunge wa Tanga (Viti Maalum)

    JE, MWANAHALISI WAMEHONGWA KUPOTOSHA KAULI YA MHE. MWANAISHA? The Diplomat Vita dhidi ya ufisadi ni ngumu sana kwa sababu baadhi ya vyombo vya habari vinamilikiwa na mafisadi ama vinajiendesha kwa kutumia fedha za mafisadi zinazotolewa kwa ajili ya kuzuia hoja zenye maslahi makubwa kwa Taifa...
  9. Replica

    Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

    Msemaji wa serikali: Mfano tarehe 30 Januari lilichapisha habari yenye kichwa cha habari 'Ufisadi ndani ya ofisi ya JPM' ilhali ndani linazungumzia ufisadi ndani ya shirika la elimu Kibaha, ni kiwango cha juu sana cha sensetionalism. Tuliwaita wakaona udhaifu wao na kuomba Radhi na tukawasamehe...
  10. Mlalahoi

    MwanaHalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake

    Sioni sababu yoyote kwa Kubenea au gazeti lake la Mwanahalisi kuzusha habari hii. On top of that, ukweli kwamba Mbowe na viongozi wengine wa ngazi za juu Chadema wamepuuzia ishu ya "kupotea" kwa Ben, makes even more sense. ====== UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa...
  11. Halisi

    Mhariri Mtendaji wa Gazeti la MwanaHALISI, Saed Kubenea avamiwa na kumwagiwa tindikali akiwa ofisini kwake

    Kuna habari kwamba watu wasiojulikana wanaodhaniwa kuwa majambazi wamemvamia mhariri na mmiliki wa Mwanahalisi, Saed Kubena na kumkata kwa mapanga. Habari zaidi baadaye. =========== Mwanahabari Saed Kubenea akiwa hospitali baada ya kumwagiwa tindikali Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwana...
Back
Top Bottom