Nimeangalia katika TV na mitandao ya kijamii, nimeona huyo anayeitwa mwanajeshi hajafungwa pingu. Ninachofahamu, mtuhumiwa akiingia katika chumba cha mahakama, ndio pingu hutolewa.
Lakini kwa huyu ni tofauti, na pia ni kama alikuwa kaambatana na watu wawili wasiofahamika, mmoja ana tisheti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.