mwanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paul Kagame: Mwanajeshi Aliyelelewa na Tanzania, Shujaa wa Ukombozi wa Afrika

    Siku hizi kila mtu anazungumzia Kagame kwa mabaya, mara ooh ni dikteta, mara anatufanyia figisu, mara atoke madarakani. Lakini wachache sana wanajua ukweli wa historia yake na jinsi Tanzania ilivyoshiriki kwenye safari yake ya kuwa kiongozi mkubwa barani Afrika. Kwanza kabisa, Kagame si mtu wa...
  2. Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school

    Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school, sasa kabla mwaka wa masomo haujaanza aliumia mgongo na akatakiwa avae plaster cast(piopi zile wanazovaa waliovunjika), akafungwa plaster cast iliyozunguka sehemu ya juu ya mwili wake...
  3. Tabora: Mwanajeshi mstaafu na Mke wa Mtu wakutwa wamefariki Chumbani

    Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora. Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja...
  4. Mwanajeshi wa Rwanda, amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji

    Wakuu Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka avue mask Pia, Soma: + Jeshi la Rwanda kusalia Msumbiji + Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini...
  5. J

    Tundu Lissu adai kada wa Chadema aliyeuawa Manyoni ni ndugu wa Mwanajeshi. Maelezo ya Polisi kwamba alifanya fujo sio ya kweli

    ..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi. ..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM. ..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni...
  6. Mzazi adai kuwa na mashaka ya kifo cha binti yake kinachodaiwa kusababishwa na sumu, alikuwa akiishi kwa siri na mwanaume anayedaiwa kuwa mwanajeshi

    Copy and Paste kama ilivyokutwa; "Moyo wangu unavuja damu kuhusu binti yangu wa kwanza Maria Izidory Petro ambaye alikuwa anasoma Chuo, Institute of Tax Administration kilichoko Dar es Salaam akichukua Shahada ya Kodi. Alipata changamoto ya kiafya ghafla kwa ambacho kilidaiwa kuwa sumu kwa...
  7. Mgogoro Hamas vs Israel: Bunge lapitisha sheria inayotoa ufafanuzi wa 'Chuki dhidi ya Wayahudi' ili Idara ya Elimu itekeleze sheria ya kupinga ubaguzi

    Wanaukumbi. Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel. Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo utakamatwa. Sheria ya "antisemitism" ambayo imepitishwa hivi punde katika Bunge HAIFAI tu kuwa...
  8. Israel yathibitisha kifo cha mwanajeshi wake wa kwanza tangu uvamizi wa Lebanon

    Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika...
  9. Asubuhi ngumu' nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike huko Rafah jana.

    Wanakumbi, ⚡️‘Asubuhi ngumu’ nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike mjini Rafah jana. 9 kujeruhiwa, ikiwa ni pamoja na majeraha makubwa Katika mashambulizi mawili tofauti hapo jana huko Gaza...
  10. G

    Trump ni noma ep 1, aliwachimba mkwara Taliban hakuna Mmarekani aliguswa kwa miezi 18, Biden alipoingia waliua, kupora silaha na kupindua serikali

    Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki. Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi...
  11. Mwanajeshi wa Marekani akutwa na hati ya kuuza siri kwa China

    Mchambuzi wa Jeshi la Marekani, Korbein Schultz amekiri mashtaka ya kula njama ya kuuza siri za kijeshi kwa China, ikielezwa alilipwa Dola 42,000 (Tsh. Milioni 113.3) ambapo hukumu yake inatarajiwa kutolewa Januari 2025. Schultz ambaye alikuwa na kibali cha usalama ili kupata taarifa za siri za...
  12. Prediction: Afisa Aliyatuma Vijana kufanya Uovu Hatoguswa

    Afisa wa jeshi, kama mtu mwingine yeyote mwenye mamlaka, anaweza kutumia vibaya mamlaka yake au mamlaka yake juu ya raia. Matumizi mabaya kama hayo yanaweza kuchukua aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na vurugu za kimwili, unyanyasaji, kulazimisha, au aina nyingine yoyote ya ukatili ambao unakiuka...
  13. Nimeota mimi mwanajeshi vitani, ilivyofika kuanza operation msituni nikashtuka fasta usingizini

    Kifo kisikie tu ila Ikifika zamu ya kukabiliana nacho huwa ni kizaa zaa. Huwa nacheza ma game ya combat au frontlines heroes naona tu raha kuwaua maadui. Paah Paah napiga tu risasi kwenye simu sasa leo mapema alfajiri ikanijia ndoto kama unavyojua ndoto mwili unahisi kitu una ki perform live...
  14. Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  15. M

    Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha kushangaza alikuwa ananiangalia kwa makini sana hadi nikajishtukizia. Nilipofika karibu yake...
  16. Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani adai Nchi za Afrika zirudishwe kwenye Utawala wa Kikoloni kwa kushindwa kujisimamia zenyewe

    Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi. Prince alitoa mtazamo...
  17. K

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
  18. Anataka kuwa mwanajeshi, vitu gani avizingatie?

    Kuna dogo amefeli form four kapata division four ya 30. Anataka aje kujitolea jeshini siku nafasi za kujiunga na JKT zikitoka
  19. M

    Spika na Mbunge Mwanajeshi wavutana kisa kigezo cha JKT

    Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika. Kwa mtazamo wangu naona kuna haja ya viongozi wengi wanaopewa nafasi za mamlaka na maamuzi wakawa wameiva vilivyo kuhusu masuala...
  20. Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

    Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…