Wakuu,
Ebu nifumbueni macho, nahisi huyu cousin wangu ananipiga kamba.
Iko hivi, alimaliza form 6 hapa bongo mwaka 2009 akaitwa na dada zake wako huko Texas marekani, lengo alitakiwa akasome chuo huko masuala ya IT.
So chuo alimaliza ila hakurudi bongo tena, akawa anafanya kazi kwenye kampuni...