Wakuu,
Kwanza Cha Moto unaanza kukiona pale mimba ya mkeo ikikaribia kujifungua (yaani miez 7 Hadi 9).
Hapa wanawake wengi sn (hasa WA mjini) wanachoka kabisa na kuhitaji kupumzika Mara Kwa Mara (wengine Hadi bedRest hospitali).
Katika kipind hiki, mwanaume unaweza ukapitisha miez 2 kavu...