Share experience apa mwana MMU, imewahi kukukuta pale unakuta kuna mwanamke umemuelewa halafu unajaribu kumpa maelekezo hakuelewi, hamna jibu, hamna kupokea simu zako hata ukikutana nayo road haijibu hata salamu halafu mwamba ukijitathmini unajiona hiyo chupi ni mechi yako ya ushindi unabak...