Kichwa cha habari chahusika. Mdau mwenzangu hivi ilitokeaje ukaamua kuoa mke asiyekuwa na elimu, kipato na anayetokea familia fukara?
Ulitumia Nini hasa kufikia uamuzi wako? Hekima? Busara? Tamaa? Roho Mtakatifu? Ushauri? Ulikosa wakuoa?
Karibu utupe uzoefu na changamoto unazokabiliana nazo...