mwanamke kuchukua pesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    Kwa dunia ya sasa kuna mwanamke anaweza kuona pesa mumewe aliyoisahau kwenye suruali akamrudishia?

    Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga 😂 Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30...
Back
Top Bottom