Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga).
Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula daily chakula cha mchana na usiku hapo . Hii ni baada ya Nourhan kugoma kunipa location ya anapouza...