Na hili huwakuta sana wakiwa wangali bado wana umri mdogo.Kwa mfano jirani kwetu kulikuwa na familia moja Walijaaliwa Watoto watano wa kike, na wote warembo, tofauti ilikuwa rangi tu (complexion) kwani Baba alikuwa mweupe sana na Mama alikuwa black beauty,hivyo wawili walichukua Mama's black...