Wanaume wengi tunayumbishwa na pisi kali tunazozimiliki, wengi tumejikuta tumeshindwa ata kumiliki mashine ya kupukuchua mahindi kwa sababu ya kuhudumia pisi kali.
Migogoro imekuwa ni mingi ndani ya familia/ mahusiano, kutokana na pisi kali kujiona ni mzuri na kumfanya mwanaume kuwa mtumwa...