1. Baba yake Kafa
2. Alimtelekeza tokea akiwa Tumboni
3. Baba yake akitaka Kumuua
4. Baba yake kasema haikuwa Mimba yake
5. Ndugu za Baba yake wamemkataa
Ila nje ya sababu hizi au kama huyo Mwanamke nitakayemuoa hatonipa hizi sababu Tano ( 5 ) tajwa hapa juu basi atafute kwa kumpeleka huyo...
Habari wakuu,
Hapa nakusudia mwanamke mwenye mtoto ambaye si wako, Mtoto ambaye kwa kiasi kikubwa bado anahitaji ukaribu na mama yake.
Nimeshuhudia ndoa ya Jirani yangu ikiyumba baada ya mtoto wa miaka takribani miwili na nusu au mitatu Kuletwa nyumbani na mkewe kwani wamekaa wastani wa miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.