mwanamke wa ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Huu Mwaka nimekutana na Mwanamke wa ajabu sana. Hii dunia tuwe makini

    Haina haja ya salamu watu tupo busy. Mwaka huu sehemu flani katika mizunguko yangu nilikutana na dada mmoja mzuri sana kwa sura na figure. actually nilikutana naye kwenye Dispensary yake yeye ni Daktari Hosp moja kubwa hapa nchini. kisha akafanikiwa kuanzisha Disp yake. Ni mdada mrembo na...
  2. K

    Huyu Mwanamke wa ajabu kweli

    Nina shangazi yangu hapa mjini Dar ambae anazaliwa tumbo moja na baba yangu mzazi, huwa naishi vizuri tu huyu naenda kwake mara kwa mara kumtembelea na hua mambo yangu yakiwa magumu au nikipata changamoto hua naenda kwake tunaongea saana na nikitoka hua napata relief maisha yanasonga. Siku moja...
  3. Melki Wamatukio

    Nimekutana na mwanamke wa ajabu jioni ya leo. Jina la Bwana lihimidiwe

    Mbali na kuwa kwenye ndoa ya wake wawili waaminifu, nina mchepuko wangu anayeishi mtaa fulani. Mchepuko huyu nilimpatia mtaji, kwa kuwa yuko na akili ya maisha, alifanikiwa kufungua biashara na kuiendesha yeye kama yeye, biashara yenyewe ni ya uuzaji wa mboga i.e nyama za ndege, yaani kuku na...
Back
Top Bottom