Nina shangazi yangu hapa mjini Dar ambae anazaliwa tumbo moja na baba yangu mzazi, huwa naishi vizuri tu huyu naenda kwake mara kwa mara kumtembelea na hua mambo yangu yakiwa magumu au nikipata changamoto hua naenda kwake tunaongea saana na nikitoka hua napata relief maisha yanasonga.
Siku moja...