Ukiwa Feminists ni shida,
Single mother ni shida,
Ukiomba pesa malalamiko
Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.
Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo
Ukivaa nguo za kubana sio wife material
Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa.
Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
Katika maisha ya mwanamke wa kisasa, kuna stage imekuwa introduced inaitwa "Hoeing phase". Hii ni stage ambapo mwanamke anakuwa anataka kuwa huru kufanya yale yote ambayo jamii imekemea mwanamke kufanya au yale yote vitabu vya MUNGU vimepiga marufuku ili ajisikie kuwa ameishi kwa utimilifu maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.