mwanamume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Rwanda: Wasichana sita na Mwanamume mmoja wakamatwa kwa tuhuma za kuchapisha video za utupu Mitandaoni

    Nchini Rwanda, wasichana sita na mwanaume mmoja wamekamatwa na Kitengo cha kuchunguza uhalifu - RIB kwa tuhuma za kuchapisha video za utupu mitandaoni. Video ya mrembo mmoja anayeitwa Kwizera Emelyne ilisambaa mitandaoni akionekana akifanya vitendo vya ngono, vinavyochukuliwa kama utovu mkubwa...
  2. ndege JOHN

    Biblia ilivyosema msinyimane nadhani ilimlenga zaidi mwanamume kwa sababu ndo humkinai mke haraka

    japo ni ushauri wa mtume paulo ila kwetu sisi wakristo tunamuona kama ni mtu muhimu nyaraka zake tunazitumia yeye alisema kwamba wanandoa wasinyimane penzi. Nachokiwaza mimi aliyekuwa anaombwa kuwa na uvumilivu ni mwanaume kwa sababu wanandoa wakizoena na kuishi pamoja mume huanza kumuona mke...
  3. KikulachoChako

    Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

    Habari za muda huu waungwana. Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana. Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na...
  4. eldora

    Natafuta mwenza mwanamume

    Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree. Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana. Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa...
  5. Webabu

    Mke hawezi kukaa kwa mume ambaye si mwanamume kweli

    Kuna watu wanajiona ni wanaume na hata huwa wanaoa wanawake na kuzaa nao lakini kiuhakika wake si wanaume kweli.Kama wanawake wangekuwa si uwanawake wao basi wangewakataa mapema kabla ya ndoa. Wanaume hao ninaokusudia wanajulikana kwa namna nyingi sana wa mwanzo kabisa ni wale wanaochukia...
  6. U

    Wasabato zingatieni hiyo amri kuwa mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke!

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizo ni picha halisi hakuna iliyotengenezwa Niwatakie Usiku mwema
  7. jerrytz

    Case File 2: Mahusiano yalianzia mtandaoni yakaishia kwa mwanamume kumwagiwa tindikali (True Story)

    Tarehe 22 Mei 2018 taarifa ilitoka kwenye vyombo vya habari kuwa mwanamke anayeitwa Berlina Wallace, mwenye miaka 49 amekutwa na hatia ya kumjeruhi mpenzi wake wa zamani Mark van Dongen umri miaka 29, kwa kumwagia tindikali (acid) kiasi cha kumsababishia upofu wa macho na kumuunguza sura...
  8. Jackson670

    Mwanamke mwema taji ya Mwanamume

    Proverbs 12:4 [4]A virtuous woman is a crown to her husband: but she that maketh ashamed is as rottenness in his bones. Mwanamke mwema ni taji ya mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake.
  9. James Hadley Chase

    TUONGEE KIUME: Mwanaume fanya yote ila usisahau kuupa mwili pole

    Kondakta wa daladala Dar es Salaam huamka saa kumi alfajiri na kukutana na dereva wake sehemu wanapolaza gari lao. Mpaka wakitoka hapo kuingia barabarani kuanza kazi huwa saa kumi na moja imeshafika. Wanaanza kupiga mzigo, kufanya kazi mwanzo mwisho, kama unavyofahamu, majukumu ya konda wa...
  10. N

    SoC03 Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu

    Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu, Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
Back
Top Bottom