mwananchi day

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wanayanga naomba majibu juu ya supu yetu ya Agosti 8, 2024

    Kuna vitu inabidi vifafanuliwe kuhusu hiyo supu, Je, Itakuwa supu ya mbuzi, ng'ombe, kuku wa kisasa au kuku wa kienyeji? Je, Tujibebee bakuli na vijiko kukwepa usumbufu au wataandaa vyombo vya kutosha? Je, Na utumbo utakuwepo au zitakuwa nyama tu? Je, Ni supu kavu, au na chapati au itakuwa...
  2. Unavoidable Servant

    Wananchi tunatoa angalizo mapema kuhusu tamasha la 'wananchi day', MC wetu ni Kitenge na Zembwela

    Inabidi tuambiane mapema uongozi wa Yanga ufahamu msimamo wa Wananchi ni kwamba hatutaki kumuona Manara. Mc wetu ni Maulid Kitenge na Zembwela imeisha hiyo. Ally Kamwe ni Boss hii siyo kazi yake.
Back
Top Bottom