Kuna vitu inabidi vifafanuliwe kuhusu hiyo supu,
Je, Itakuwa supu ya mbuzi, ng'ombe, kuku wa kisasa au kuku wa kienyeji?
Je, Tujibebee bakuli na vijiko kukwepa usumbufu au wataandaa vyombo vya kutosha?
Je, Na utumbo utakuwepo au zitakuwa nyama tu?
Je, Ni supu kavu, au na chapati au itakuwa...
Inabidi tuambiane mapema uongozi wa Yanga ufahamu msimamo wa Wananchi ni kwamba hatutaki kumuona Manara.
Mc wetu ni Maulid Kitenge na Zembwela imeisha hiyo. Ally Kamwe ni Boss hii siyo kazi yake.