Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje.
Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
Mambo ambayo huja baadae kusababisha kuiona ndoa ni chungu ni kuwa na matarajio makubwa kwa mwenza wako,,hii sio sawa hata kidogo,hatuna budi kutafuta namna ya kutafuta raha katika nafsi zetu wenyewe.
Kuna wakati hutaambiwa unapendwa kama zamani lkn hii isikufanye ukose furaha na amani katika...
𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗲𝗻𝘂 𝘄𝗮𝗸𝘂𝘂...
Poleni na majukumu.
Bila kupoteza muda 1kwa1 kwenye mada kama kichwa kinavyosema, Ni changamoto gani uliipitia katika ndoa/muhusiano yako ambayo ilitaka kuvunja ndoa/mahusiano yako kisha ukainusuru kwa kuitatua na mambo yakawa saaafi kama mwanzo.
Hii inawahusu wale ambao mume anaishi mkoa tofauti na mkewe kwa sababu za kikazi.
Sio vyema kuishi namna hiyo. Ikiwa hamuishi pamoja kama wanandoa, mtakuwa na uaminifu kwa ndoa yenu kwa muda mfupi tu, baada ya hapo mambo yataanza kubadilika. Mwili utakusukuma kwenye ukuta, utaanza kutaniana na...
Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa?
Mfano mwanandoa akaamua kubadili dini na kuwa Muislam, na akaamua kufuata sunna ya Kiislam akaongeza mke wa pili, hii imekaaje kaaje?
Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali.
Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3)...
Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati inatafsiri Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kuhusu umiliki wa mali baina ya wanandoa, katika kesi ya Rufaa namba 287 ya mwaka 2021 kati ya Bahati Kazuzu na Ruth Bura mbele ya Jaji Mugeta, imeeleza kwamba:
Mali yoyote ambayo mwanandoa mmoja ataipata, iwe kwa kuhongwa...
Ewe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani endapo.
Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lakini hamna suluhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa.
Mmefika hatua hata mnagawana vitanda, mmoja akisafir hata WK 3 bila kupigiana cm,
Tendo la ndoa...
Jamani ndoa ngumu sana. Mfano umeolewa/umeoa halafu ikatokea siku umetoka zako mishe umefika home halafu ukapitiliza bafuni kuoga, inakuwa nongwa. Tena nongwa kweli kweli.
Kwanini??
Shout out kwa singles wote
Hii imemkuta jamaa yangu wa karibu.
Iko hivi:
Jamaa yangu anaishi na mkewe na wamebahatika kupata watoto watatu. Ndoa yao ni tulivu sana.
Kifupi wanapendana na kuheshimiana (kwa mtazamo wangu na maisha yao ya nje yanavyoonekana).
Mwanaume ana rafiki yake wa kiume. Familia inatambua urafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.