Wana jukwaa, naomba ushauri.
Mwanangu wa mwaka 1 na nusu kila akilia anakauka mpaka anazimia, na hali hii imekuwa ikijirudia kila anapolia kabla ya kurudi katika hali ya kawaida. Kwa kifupi, inanitisha sana kwani sijui shida ni nini.
Je, hii ni hali ya kawaida kwa watoto au inahitaji...