Dickson Ndiema, mpenzi wa zamani wa Rebecca Cheptegei, amefariki hospitalini.
Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Uganda, marehemu Rebecca Cheptegei, ambaye alikuwa akituhumiwa kumuua kwa kumwagia petroli na kumchoma moto, amefariki kutokana na majeraha ya moto aliyoyapata wakati wa shambulio...
Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto nyumbani kwake nchini Kenya.
Katika tukio hilo la kikatili, Cheptegei aliungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.