mwanariadha wa uganda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anayetuhumiwa kumuua mwanariadha Rebecca Cheptegei naye aaga dunia akiwa hospitali

    Dickson Ndiema, mpenzi wa zamani wa Rebecca Cheptegei, amefariki hospitalini. Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Uganda, marehemu Rebecca Cheptegei, ambaye alikuwa akituhumiwa kumuua kwa kumwagia petroli na kumchoma moto, amefariki kutokana na majeraha ya moto aliyoyapata wakati wa shambulio...
  2. TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

    Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto nyumbani kwake nchini Kenya. Katika tukio hilo la kikatili, Cheptegei aliungua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…