Habari,
Kwa Sasa napitia wakati mgumu nina matatizo binafsi nahitaji msaada wa kisaikolojia nitamlipa.
Nipo kKgamboni naomba mnisaidie
Pm kuko wazi.
Msinijibu ovyo mtaendelea kuniumiza
Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa HipHop na Rapa, Andre Young a.k.a Dr. Dre amefunguliwa kesi ya madai ya Fidia ya Dola Milioni 10 (takriban Tsh. Bilioni 27.2) akidaiwa kumfanyia Vitisho na Unyanyasaji aliyekuwa Mshauri na Msuluhishi wa Ndoa yake.
Dkt. Charles J. Sophy amedai mwaka 2018, Dre...
Habari WanaJF,
Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu.
Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii.
Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Jiwa Hassan
"Ukweli ni kwamba siyo kwamba Watanzania wana Furaha bali wana Amani ambayo inapelekea Wao kuridhika haraka na kila Wanachokikuta na Wanachokipata kutokana na Umasikini wao Waliouzoea ila kiuhalisia wengi Wao wamekuwa Wakikereka na Maisha yao magumu yasiyo na Ufumbuzi hadi wameamua Kuyafurahia...
Ndg members wote, habari za wakati huu? Ofcoz ni nzuri.
bila kupoteza muda, kama unafahamu chochote kuhusu tatizo hili, naomba neno lako la hekima ukinishauri;
Tatizo langu ni hasira za mara kwa mara!
ndg zangu, baada ya kugundua kuwa nina tatizo hili, nimejitahidi kufanya mazoezi ili...
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.
Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na...
(usomaji wa dakika 7)
Wangapi wanaweza kukiri kuwa wanahisi wameoa/wameolewa na mtu asiye sahihi?
Basi mimi nipo hapa kutoa ushauri nasaha pamoja na faraja kwenu.
Unajua watu wengi tuna hasira tulizozibeba ndani yetu juu ya mahusiano yetu ya kimapenzi, jinsi mahusiano yetu yalivyoenda.
Leo...
"Wanaume wenye kupenda kufanya tu Mazoezi ya Kutembea Umbali mrefu au Kukimbia umbali wa Kiasi ndiyo Wanaoongoza kwa Kuwaridhisha zaidi Wapenzi wao Vitandani tofauti na wale wapenda kwenda na Kukesha gym", alisema Mwanasaikolojia.
Siku zote Mightier nimekuwa nikiwapinga mno hawa Wanasaikolojia...
Akizungumza 'mubashara' kabisa katika Kipindi Bora kabisa cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kinachoruka kila Siku za Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu asubuhi hadi Saa 4 Kamili asubuhi, Mwanasaikolojia Mwalikwa Dkt. Charity Xavery leo ametoa kitu Kiitwacho Ukweli Mchungu kwa Wasikilizaji...
Nimemsikia sana huyu jamaa lakini nimekuwa na wasiwasi kama ni professional psychologist. Namuona kama ni motivational speaker hivi.
Naomba kujua wasifu wa elimu yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.