Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza
Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi
Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
Akina mdee wanasema wao ni wanachadema halali.
Toa kauli yako. Maana watanzania wanaona kama wamefukuzwa.
Usiwe kama Lissu mwisho unakuja kulaumu wengine wakati jukumu hilo ni lako
“Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa.
“Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa...
Wakati Kenya wanasheria vijana wanapigania haki za vijana wenzao wanaotekwa, wanasheria wa Tanzania wenye mtizamo wa wanaharakati wanakesha ktk mitandao kuandika mipasho. Mfano huyu team Lissu
Msikilize Mwaisa anaongea kiutani utani ila ujumbe ni mzito sana,
"Mangi kweli wewe ni mkali ila mwachie dogo Mwanasheria anavisheni"
Kucheka pia ni sera ya Tundu Lissu,🤣🤣
Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Hamza Johari amepiga kura katika eneo la llazo jijini Dodoma
Amepongeza Waandaaji na Waratibu wa Uchaguzi kwa mpangilio mzuri uliopo kwenye vituo unaofanya watu watumie muda mfupi katika zoezi la kupiga kura.
Nimejiunga na kifurushi cha SME package ya 50k kwa mwezi yenye GB 50 pamoja na dakika 2000, GB ziliisha juzi nikabaki na dakika ambapo mpaka ijumaa usiku nilikua na dakika 998
Matumizi yangu kwa siku ya jana hayajazidi dakika 300 kwa mujibu wa call history.
Sijapokea sms yoyote kuonesha dakika...
Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani.
Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na...
Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!.
Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe, haijalishi mama atanidhulumu atakuwa amedhulumu Cha mwanae. Haijaliishi ndugu zangu wakagawana na Mali zangu Haina shida na ni jambo jema tu.
Shida ni mwanamke achukue Mali...
Wana jamvi, nahitaji mwanasheria tutagawana mapato, kuna kampuni nahitaji kuipeleka mahakamani wanilipe fidia sasa sina pesa za kumlipa mwamasheria ila tutakula wote kitakacho lipwa.
Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu.
Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024.
Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
https://www.youtube.com/watch?v=nEuQW0S_9D8
Kesi ya kumng'atua Naibu Rais Rigathi Gachagua inayoendelea kwa sasa mbele ya Seneti imefuatia kupitishwa kwa hoja ya kumwondoa madarakani na Wabunge 281 ambao walikubaliana na madai yaliyowasilishwa na Mbunge wa Kibwezi Magharibi, Mwengi Mutuse...
Tusichoshane, moja Kwa moja kwenye mada.
Huyo mwanasheria aliyeonyesha MIKATABA ya Kagoma kuna maswali hapa atusaidie, inaonekana HAJUI kuwa HAJUI! Inawezekana huyu mtu ni aina ya wale wasomi darasani katika mitihani walikuwa ni wazuri lakini mpe Kazi NI sifuri kabisa 0%. Theory 120% sasa njoo...
Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu.
Anachosema:
1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M...
Wakili na Mwanasheria wa Jeshi la Polisi nchini Kamisheni ya Zanzibar, Sadik Ali Sultan amesema wanaokubali kuingiliwa kinyume na maumbile wana makosa kwa mujibu wa sheria na wanastahiki kushtakiwa na kufungwa kutumia adhabu ya makosa yao.
Akitoa elimu ya kupinga vitendo vya udhalilishaji huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.