Nadhani mwanasheria Mkuu wa serikali ayaangalie mapungufu katika ofisi ya wakili Mkuu wa serikali. Kama mwendesha mashtaka wa serikali (Dpp)anaweza kuendesha mashtaka mpaka mahakama ya wilaya au ya mwanzo, na wana ofisi huko, kwa nini hawa wa Wakili Mkuu wa serikali sheria isiweke utaratibu...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Hamza Johari amepiga kura katika eneo la llazo jijini Dodoma
Amepongeza Waandaaji na Waratibu wa Uchaguzi kwa mpangilio mzuri uliopo kwenye vituo unaofanya watu watumie muda mfupi katika zoezi la kupiga kura.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024.
Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ameapa kiapo cha uaminifu bungeni leo Agosti 27, 2024.
Ameapa mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, katika kikao cha kwanza cha Mkutano wa 16 wa Bunge.
Hamza aliteuliwa na Rais, Samia Suluhu Hassan kushika...
29 July 2024
Mahakama ya Rufaa Tanzania
Dar es Salaam,
Tanzania
Kesi ya Onesmo Olengurumo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=M89ro2AWtds
Mahakama ya Rufaa Tanzania yatengua hukumu ya Mahakama Kuu katika kesi ya msingi iliyofungiliwa Mahakama Kuu kupinga ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.