Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi amemteua Dkt Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kabla ya Uteuzi Dkt. Mwinyi Talib alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Uteuzi huo unaanza Novemba 3