Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza
Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi
Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
Walitoa mpaka clip wakimong'onya na mkataba feki wa Kagoma halafu mchezaji mwenyewe walienda kumlipa kwa mafungu kama wananunua nyanya.
Hivi hawa mwiko nyuma wanatuonaje sisi wapenzi wa mpira? Hebu tuachie huyo feisali.
Pia soma: Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba...
Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu.
Anachosema:
1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M...
Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi ya muda mrefu na Singida Fountain Gate kwa lengo la kununua rasmi Yusuf Kagoma."
Kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.