mwanasheria wa yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanasheria wa Yanga asema waliinyima Simba haki ya kufanya mazoezi kwa kuwa nao walinyimwa mechi ya kwanza

    Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
  2. Mwanasheria wa Yanga unatuchukuliaje sisi?

    Walitoa mpaka clip wakimong'onya na mkataba feki wa Kagoma halafu mchezaji mwenyewe walienda kumlipa kwa mafungu kama wananunua nyanya. Hivi hawa mwiko nyuma wanatuonaje sisi wapenzi wa mpira? Hebu tuachie huyo feisali. Pia soma: Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba...
  3. Huyu Mwanasheria wa Yanga yupo kwa Maslahi ya nani?

  4. Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

    Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu. Anachosema: 1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M...
  5. Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga

    Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi ya muda mrefu na Singida Fountain Gate kwa lengo la kununua rasmi Yusuf Kagoma." Kwa mujibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…