mwanasiasa bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Tangu Taifa la Tanzania lipate uhuru hajawahi kutokea mwanasiasa bora na mzalendo kama Lissu. Kila atakayeshindana naye ataanguka

    Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili. Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi. Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni kabisa. Awamu ya tano kila walipotafuta mpenyo wamfunge afie jela hawakuona hata kadirisha kaliko wazi...
  2. D

    Ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri somea sheria au uchumi. Fani zingine utaboronga kwenye siasa

    Waliosoma course za uchumi na sheria ndo huwa wazuri kwenye siasa mana siasa inataka mchumi au mwana sheria. Tuwe wakweli, hivi engineer, mwalimu, mhasibu etc unaenda kuzungumza nini kwenye siasa mana mhasibu anachojua ni micro economics tu hajui hata game theories zinaoperate vipi ili kulet...
  3. B

    Mpaka Sasa Mwanasiasa Bora Nchini Tundu Lissu ni Top in the List.

    Pamoja na kwamba tuna Siasa zenye mapungufu Afrika na Tanzania Pia bado tuna wanasiasa wenye nafuu kwa ubora. Japo pia tuna wanasiaaa wazuri ndani ya Tanzania lakini Tundu Lissu anaendelea kujitanabaisha kama Mwanasiasa Bora kwa wakati huu. TUndu Lissu pamoja na wanasiaaa wachache ndio ambao...
  4. ASIWAJU

    Tundu Lissu ni mwanasiasa bora wa upinzani kwa sasa

    Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za kitaifa na kimataifa kwa muda mrefu sasa. Taifa letu la Tanzania limekuwa na siasa za uonevu mkubwa wa haki za msingi kutoka kwa watawala kwenda kwa watawaliwa. Aina hii ya uonevu unao tendeka hapa nchini unao sababishwa kwa asilimia kubwa na watawala ambao ni...
  5. Allen Kilewella

    Hivi huko CCM nani ni mwanasiasa Bora?

    Kwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi. Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye...
  6. U

    Maoni Yangu: Lema Mwanasiasa bora Afrika

    Habari ndugu wanajamii forums Nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na Afrika kwa muda mrefu takribani miaka 20. Kinachonifurahisha kwa mwanasiasa yoyote ni uwezo wa kujenga hoja. Ukiangalia wanasiasa wengi hapa TZ kuanzia mwalimu Nyerere na uwezo wao wa kujenga hoja utaona ni kama mtu...
  7. R

    Tanzania tunahitaji Rais ambae ni Mwanasiasa Bora au Mzalendo?

    Habari JF ,Kiuhalisia unapozungumzia sifa NZURI za kiongozi hasa kwa Ngazi ya Urais huwa Hatuna kiongozi Bora ila tuna Mwanasiasa Bora au Kiongozi Mzalendo. Kiongozi bora maana yake ni Mwanasiasa Bora na ni Mzalendo pia kupata mtu mwenye sifa hizi Mbili ni Ngumu sana kwa hiyo ni either utapata...
  8. nashicha

    CHADEMA tukubali Mbowe ndiye mwasiasa bora

    Ndugu zangu siasa ina mambo mengi sana na ukiwa mwanasiasa unatakiwa uwe na ngozi ngumu ya Kisiasa MBOWE kama kiongozi ameweza kushinda kila maumivu aliyopitia. Hawa kina Zitto, Lipumba, Kitila tulipandikiziwa tu na kwa sasa hawana nguvu tena za kujiita WAPINZANI. Tumpe muda siasa haitaki...
Back
Top Bottom