Waliosoma course za uchumi na sheria ndo huwa wazuri kwenye siasa mana siasa inataka mchumi au mwana sheria.
Tuwe wakweli, hivi engineer, mwalimu, mhasibu etc unaenda kuzungumza nini kwenye siasa mana mhasibu anachojua ni micro economics tu hajui hata game theories zinaoperate vipi ili kulet...