Wanaume jalini wake zenu pamoja na watoto zenu kwa upendo na maadalii mema Ili tujenge Taifa Bora.
Eee Mungu tusaidie sisi wanaume utusamehe mazambi yetu.
Baadhi ya Wanaume wengi wanakwepa majukumu yao katika familia na wengine hunyanyasa familia zao na kulewa pombe na kutohudumii familia zao...
Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe.
Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake.
Huyu mwanamume asiyejiamini, atacheza na hisia za wanawake wengi, huku akidhani ananufaika na kuongeza kujistahi...
Hello...hello...hello...😍
Hamjambo jamani huku ndani? Nina imani nyote mnaendelea vyema sana. 🤸♀️🤸♀️
Sasa basi, sijui huu ni ushuhuda, elimu, au uvumilivu. Hebu nyie someni halafu muone inakaa kwenye nini. 😁
Nisiwapotezee muda jamani, mambo ni mengi.
Sijui nilibahatika au ni kweli kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.