Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe.
Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake.
Huyu mwanamume asiyejiamini, atacheza na hisia za wanawake wengi, huku akidhani ananufaika na kuongeza kujistahi...