Kama unataka drama za ajabu ajabu na mitafaruko isiyoweza kuepukika basi date mwanaume ambae hanywi kilevi chochote au havuti. Utaona dunia chungu.
Wanajikutaga wajuaji alaf wengi wao ni narcissist na manipulator. Watakupelekesha utajuta kumfahamu. Wanapenda uch.i kama ndo chakula chao...