mwanaume kuchepuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mwanaume nyumbani ana goal kutwa anachepuka!

    Yaani jamani unakuta umeolewa na mume, ana mapungufu kibao, kwanza kibamia halitoshi single goal tena goal lenyewe la kuku lakini kutwa anachepuka unaona ni jinsi gani anajidhalilisha kwa kutoa siri za familia kwa kuonesha mapungufu yake live kwa watu! Nyie wanaume tulieni jamani, wake zenu...
  2. Equation x

    Nimeamua kutulia na mke wangu

    katika harakati zangu za kuwa na sampuli mbalimbali; wenye chura matata, warefu, wafupi, wembamba, wanene n.k, nimeona hayo maisha ni ubatili mtupu. Mwisho wa siku wanakuwa hawana shukrani, zaidi ya kuwa wapigaji tu; wengi wanaingia kwenye uhusiano kama ajira. Utasikia bebii nimeishiwa hiki...
  3. kyagata

    Nimemchagulia Ex girl wangu mume wa kumuoa

    Iko hivi.. Wakati niko na mahusiano na huyu bibie,nilijua alikua na mahusiano mengine na wanaume kama wawili hivi. So baada ya muda me nikaamua kupita hivi na Mia then tukabaki kama washkaji ingawa nilikua bado namega kisela. So ili kumfanya nae awe na mahusiano ya kueleweka nikamshauri...
  4. Strong and Fearless

    Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo na mwanamke

    Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa ulikua na bitch wako umekimbia anasema ww Unafanya nn masaki mida Hii si ulisema Upo kwako , Yani...
Back
Top Bottom