katika harakati zangu za kuwa na sampuli mbalimbali; wenye chura matata, warefu, wafupi, wembamba, wanene n.k, nimeona hayo maisha ni ubatili mtupu.
Mwisho wa siku wanakuwa hawana shukrani, zaidi ya kuwa wapigaji tu; wengi wanaingia kwenye uhusiano kama ajira.
Utasikia bebii nimeishiwa hiki...