MWANAUME MASKINI HANA NAFASI YA KUFANYA MAKOSA MFULULIZO
Kuna ukweli mchungu ambao wanaume wengi hawaambiwi mapema.
Ukizaliwa maskini kama mwanaume —
maisha hayatakusamehe kirahisi.
Kwa sababu mwanaume maskini hana luxury ya kufanya makosa mengi bila gharama.
Makosa yake hulipwa kwa maumivu...