Kwani siku hizi class na desires mmemwachia shetani awashikie au?
Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana.
Katika maneno yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka. “Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae"...
Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe.
Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
Tufanye kwamba factors nyengine zote zinafanana kati ya mwanaume mfupi na mrefu isipokuwa kimo cha urefu pekee.
Mwanaume mrefu mfano akiwa futi 6'2 ana uwezo wa kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mwenye urefu wa 5'5.
Wote hao wanaweza kuwavutia wanawake wenye urefu sawa na chini...
Habarini wadau,
Ramadhan Kareem to all Muslim in here...!
Wewe ni mwanaume mfupi, Andunje, Nyadundo kama mimi, kwanini una kiherehere cha kuoa Mwanamke mrefu kukuzidi? Mwanamke akikuzidi urefu ni sawa na kukuzidi akili. Kwanza hata wenyewe hawatupendi Wanaume wafupi
Huu ni utafiti rasmi kwa...
Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani.
Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.