mwanaume mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

    Kwani siku hizi class na desires mmemwachia shetani awashikie au? Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana. Katika maneno yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka. “Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae"...
  2. S

    Maajabu ya wanawake kupenda wanaume weusi huku wakitaka kupata watoto weupe!

    Haya ni maajabu ya wanawake. Utasikia napenda mwanaume mrefu mweusi lakini cha ajabu wanapenda kuzaa vitoto vyeupe pee.
  3. Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

    Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe. Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
  4. Ushuhuda: Mwanaume mrefu nina nafasi kubwa zaidi ya kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mfupi

    Tufanye kwamba factors nyengine zote zinafanana kati ya mwanaume mfupi na mrefu isipokuwa kimo cha urefu pekee. Mwanaume mrefu mfano akiwa futi 6'2 ana uwezo wa kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mwenye urefu wa 5'5. Wote hao wanaweza kuwavutia wanawake wenye urefu sawa na chini...
  5. Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

    Habarini wadau, Ramadhan Kareem to all Muslim in here...! Wewe ni mwanaume mfupi, Andunje, Nyadundo kama mimi, kwanini una kiherehere cha kuoa Mwanamke mrefu kukuzidi? Mwanamke akikuzidi urefu ni sawa na kukuzidi akili. Kwanza hata wenyewe hawatupendi Wanaume wafupi Huu ni utafiti rasmi kwa...
  6. Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

    Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
  7. M

    Nimekaa muda mrefu bila mahusiano ila sasa kuna mwanaume ananitaka na mimi sijavutiwa naye

    Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani. Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…