John Krasinski ametajwa na jarida la People kama "Mwanaume Mwenye Mvuto Zaidi Aliye Hai" (Sexiest Man Alive) kwa mwaka 2024.
Kwa mujibu wa jarida la "People Magazine" kutoka Marekani, Novemba 11 kupitia onyesho maarufu la "The Late Show" lililoongozwa na Stephen Colbert, Krasinski, muigizaji na...