Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!.
Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani?
Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika.
Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.